Sheikh akusudia kummaliza Alikiba na Chid Benz
Sheikh Abdulrazak ambaye ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii, ameweka wazi mipango yake juu ya kumbadilisha msanii wa muziki wa kizazi kipya na kipenzi cha wengi, Ali Kiba, kumfanya amtumikie Mungu na kuachana kabisa na muziki wa bongo fleva.