Zitto Kabwe aitwa CCM Rais Dkt. Magufuli akiwa na Zitto Kabwe Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amempongeza kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe kwa kuibua mijadala ya kiuchumi na kumkaribisha ajiunge na Chama chake cha CCM. Read more about Zitto Kabwe aitwa CCM