Simba yasajili beki wa kimataifa kuziba pengo Zana Coulibaly Klabu ya soka ya Simba imetangaza kuwa leo itakamilisha usajili wa beki wa kimataifa kutoka Ivory Coast kwaajili ya kuziba pengo la mlinzi wa pembeni wa kulia Shomari Kapombe ambaye ni majeruhi. Read more about Simba yasajili beki wa kimataifa kuziba pengo