Wananchi watakiwa kuhama kupisha bwawa la maji

Wananchi wakiwa kwenye mkutano, bwawa la maji.

Serikali imewaagiza wananchi wote wa Mitaa ya Kasanga na Mindu wa Wale Wanaoishi Ndani Ya eneo la hifadhi ya bwawa la Mindu manispaa ya Morogoro kuondoka Kwa hiyari hadi kufikia januari 31 mwakani ili kupisha upanuzi bwawa la mindu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS