Tekno akumbwa na gonjwa hatari Uongozi wa msanii wa muziki nchini Nigeria, Tekno Miles, umewataka mashabiki kumuombea msanii huyo kutokana na ugonjwa unaomsumbua, ambao utamuhitaji kukaa nje ya muziki kwa muda. Read more about Tekno akumbwa na gonjwa hatari