Polisi yafunguka kuhusu waasi kuingia nchini

Picha ya mpaka wa Msumbiji na Kamanda wa polisi mkoa wa Mtwara.

Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa baadhi ya vijiji vilivyopo upande wa nchi ya Msumbuji karibu na mpaka wa Tanzania kuwa vimeshambuliwa na waasi, ikidaiwa huenda wameingia nchini Tanzania, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Lucas Mkondya amesema hali ya mipaka iko salama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS