"Wachezaji wa kigeni si kitu, tutashinda" - Mtibwa

Kuelekea ufunguzi wa msimu wa michuano ya vilabu barani Afrika hapo kesho, kocha wa kikosi cha Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa ana imani kubwa na kikosi chake kuibuka na ushindi dhidi ya Northern Dynamo ya Shelisheli licha ya kutokuwa na wachezaji wa kigeni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS