Sanamu ya Mwl. Nyerere Jijini Dodoma (kushoto) na majengo makubwa Jijini Dar es salaam (kulia)
Katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018/19, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeongoza katika ukusanyaji mapato ya ndani, ikiendelea kuliacha mbali Jiji la Dar es salaam na baadhi ya majiji mengine ya mwanzo.