Tanzania mabingwa, Copa Dar es salaam 2018 Timu ya taifa ta soka la Ufukweni ya Tanzania ukishangilia ubingwa Timu ya taifa ya soka la Ufukweni ya Tanzania imefanikiwa kushinda ubingwa wa Copa Dar es salaam kwa kuifunga timu ya taifa ya Uganda katika mchezo wa fainali. Read more about Tanzania mabingwa, Copa Dar es salaam 2018