30 wafa maji Ziwa Victoria Zaidi ya watu 29 wamethibitishwa kufa maji katika ziwa Victoria baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama huko nchini Uganda. Read more about 30 wafa maji Ziwa Victoria