Bunge lafunguka kupeleka majina ya mawaziri watoro

Spika wa Bunge Job Ndugai

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai amefunguka kuwa bado bunge hilo halijapeleka orodha ya majina ya wabunge pamoja na mawaziri ambao wana mahudhurio hafifu kwenye bungeni ikiwa ni siku chache tangu spika Job Ndugai kutishia kupeleka orodha ya majina hayo kwenye vyama husika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS