Amber Ruty na mpenzi wake wadhaminiwa Video vixen, Nascat Abdul maarufu kama Amber Ruty sambamba na Mpenzi wake Saidi Bakari Kitomali, hatimaye wamepata watu wa kuwatolea dhamana, juu ya kesi yao inayowakabili. Read more about Amber Ruty na mpenzi wake wadhaminiwa