Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola akiwa jijini Mwanza pamoja na RPC Jonathani Shanna na asakri wengine.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Kangi Lugola amemhakikishia Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza Jonathani Shanna kuwa atawapandisha vyeo askari waliofanikisha kuua majambazi Novemba 16.