Mambo matatu anayoanza nayo Ninje TFF
Mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la soka nchini (TFF), Ammy Ninje amesema katika kuhakikisha soka la Tanzania linapiga hatua chini ya uongozi wake, ataanza na vipaumbele vitatu ambavyo ndio hitaji kubwa la taifa.