Marufuku kuagiza vitu nje ya nchi – Waziri

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Seleman Jafo amepiga marufuku kununua vifaa vya ujenzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya ujenzi wa hospiyali za ndani kwa kile alichokidai kufanya hivyo ni kuvihujumu viwanda vya ndani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS