Nikki wa Pili amuweka sawa Afande Sele
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva anaeunda kundi la weusi, Nikki wa Pili, amefunguka na kumueleza msanii mwenzake, Afande Sele kuwa hana ufahamu na mambo aliyoyazungumza ndio maana aliweza kusema mambo ambayo si sahihi kuhusu kundi hilo.