Chanzo cha vifo vya wanajeshi watatu wa Tanzania

Miili ya wanajeshi watanzania

Miili ya wanajeshi watatu ambao walikuwa ni walinzi wa amani katika nchi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo pamoja na Jamhuri ya Afrika ya Kati inaagwa leo katika hospitali ya jeshi ya Lugalo baada ya kupokelewa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS