AbduKiba afunguka kuachana na mkewe AbduKiba akiwa na mkewe. Staa wa Bongo Fleva AbduKiba amekanusha ndoa yake kuvunjika na yeye kutengana na mke wake mpaka kumrudisha kwao na kusema mke wake aliumwa na ilibidi arudi kwao ili kupata matunzo bora zaidi na wana familia. Read more about AbduKiba afunguka kuachana na mkewe