Wanaodaiwa bilioni 309 washindwa kufika mahakamani
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar salaam imeelezwa kuwa sababu za kutofika mahakamani kwa watuhumiwa wawili wa makosa ya uhujumu uchumi, Harbinder Sethi na James Rugemalila kuwa ni ukosefu wa Usafiri kutoka kwa idara ya Magereza.