Nitawashtaki walionipeleka CCM – Mbunge CUF
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani Ahmed Katani amefunguka juu ya madai ya kubadilisha uamuzi wa kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM baada ya kufanya mazungumzo na Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Suleiman Bungara, pamoja na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.