Unai Emery aitaja filamu inayomfundisha Kiingereza
Kocha wa Arsenal, Unai Emery
Kocha wa klabu ya Arsenal, Unai Emery amefichua siri juu ya mafanikio yake katika lugha ya Kiingereza, kuwa ni kutokana na kuangalia mfululizo wa filamu zinazotumia lugha hiyo mara nyingi.