''Alikiba anatumia uwezo wake kutupanga''-Abdukiba
Wasanii waliopo chini ya Label ya Kings Music inayomilikiwa na msanii Alikiba, wamefunguka kuwa 'boss' wao huyo ndio mtu anayewafundisha vitu vingi kuhusu muziki ikiwemo mpangilio wa nani aanze kwenye ngoma zao.