Serikali yafuta mitihani ya kidato cha Pili wanafunzi wakiwa katika chumba cha mtihani. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imefuta mitihani ya kidato cha pili visiwano humo iliyokuwa ikiendelea na kusema kuwa tarehe ya mitihani hiyo itatangazwa tena. Read more about Serikali yafuta mitihani ya kidato cha Pili