Askofu wa Kanisa Katoliki afariki dunia

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbeya, Evarist Chengula enzi za uhai wake.

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbeya, Evarist Chengula amefariki dunia leo asubuhi akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa anapatiwa matibabu ya moyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS