Askofu wa Kanisa Katoliki afariki dunia Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbeya, Evarist Chengula enzi za uhai wake. Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbeya, Evarist Chengula amefariki dunia leo asubuhi akiwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete alipokuwa anapatiwa matibabu ya moyo. Read more about Askofu wa Kanisa Katoliki afariki dunia