Gari la Jeshi lililobeba Korosho lapata ajali

Pichani gari lililopata ajali huku korosho zikiwa zimemwagika chini.

Gari la Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambalo lilikuwa limebeba tani 15 za korosho kutokea wilayani Tandahimba kuelekea Mtwara mjini limepata ajali na kusababisha korosho zote kumwagika barabarani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS