Kauli ya Waitara kuhusu Mkuu wa mkoa kufuta likizo
Baada ya hivi karibuni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi kufuta likizo kwa baadhgi wa watumishi wa idara zinazohusika na ujenzi wa madarasa mkoani humo, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Mwita Waitara amesema ni sahihi likizo kuahirishwa.