Azam FC yajitangazia ubingwa Kikosi cha Azam FC Klabu ya Azam FC imeibuka na kusema kuwa msimu huu ni wake na ina nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara (TPL) mwishoni mwa msimu huu kutokana na namna ilivyojipanga. Read more about Azam FC yajitangazia ubingwa