Kante kuamua hatma ya Hazard Chelsea? Ng'olo Kante (kushoto) na Eden Hazard (kulia) Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, klabu ya Chelsea imepanga kumpa ofa nono ya mkataba wa miaka mitano kiungo wake raia wa Ufaransa, Ng'olo Kante ili kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Read more about Kante kuamua hatma ya Hazard Chelsea?