"Hatakaa asahau maisha yake yote" - Polisi
Jeshi la Polisi nchini, limetangaza kuanza kwa Operesheni kali ya kuwasaka watu wote wanaojihusisha na wizi wa mafuta katika mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) unaoendelea kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro.