Jokate awachagulia adhabu Taifa Stars

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo (kushoto) na Kikosi cha taifa stars.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amefunguka baada ya timu ya taifa ya Tanzania, taifa stars kufungwa goli 1-0 dhidi ya Lesotho katika mchezo wa kufuzu michuano ya AFCON.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS