RC aagiza bodaboda kununua Pafyumu

Pichani bodaboda zikiwa katikati ya mji.

Mkoa wa Tabora umejipanga kutoa huduma za uhakika pamoja na usalama katika kipindi cha siku tatu kuanzia leo Jumatano wakati wa jukwaa la fursa za uwekezaji na biashara linalotarajiwa kufunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS