Alama 3 kuipeleka Tanzania AFCON kesho Taifa Stars Timu ya taifa ya Uganda imefanikiwa kufuzu fainali za AFCON 2019 nchini Cameroon, baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Cape Verde kwenye mchezo wa 5 wa kundi L hivyo kufikisha alama 13 kwenye Kundi L. Read more about Alama 3 kuipeleka Tanzania AFCON kesho