''Jeshi lijiandae'' - Samia Suluhu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu ameagiza kulindwa kwa mipaka ya nchi, ili kuhakikisha nchi inaepukana na matukio ya kiujangili na kiugaidi ambayo yamekuwa yakizikumba baadhi ya nchi jirani.