Azam yamtuma beki wake kuiokoa Taifa Stars
Klabu ya soka ya Azam FC imebainisha kuwa kabla ya kuondoka kwenda kwenye kambi ya timu ya taifa ya Uganda mchezaji wake Nicholas Wadada, walimpa majukumu ya kuhakikisha anaitetea Taifa Stars kwa kutoruhusu kufungwa na Cape Verde.