Manara amaliza utata wa Niyonzima Simba Haji Manara (kushoto), Haruna Niyonzima (kulia) Baada ya kusambaa kwa tetesi za kiungo wa klabu ya Simba, Haruna Niyonzima kutakiwa na klabu ya Azam Fc, hatimaye Afisa Habari wa klabu hiyo, Haji Manara ameibuka na kuzikanusha. Read more about Manara amaliza utata wa Niyonzima Simba