Azam FC yaomba kuzihamisha Simba na Yanga

Vikosi vya Simba na Yanga pamoja na mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa.

Klabu ya soka ya Azam FC imeliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF) na Bodi ya ligi (TPLB), kuomba kuhamishia mechi zake za ligi kuu soka Tanzania bara zinazohusu Yanga na Simba katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS