Maneno ya kwanza ya muigizaji Lulu Msanii Elizabeth Michael (Lulu). Msanii wa filamu nchini aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia, Elizabeth Michael (Lulu) amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuachiwa huru Novemba 12. Read more about Maneno ya kwanza ya muigizaji Lulu