TIC yabana mianya kurahisisha uwekezaji Makao makuu ya TIC. Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC), kinakwenda sambamba na kasi ya Rais John Magufuli katika kuziba mianya ya uwepo wa rushwa katika utumishi wa umma ili kurahisisha suala la uwekezaji nchini. Read more about TIC yabana mianya kurahisisha uwekezaji