Mbunge wa CUF asababisha mbunge, CHADEMA kufukuzwa
Baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kumfukuza bungeni Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga (CHADEMA) kwa kile alichodai ni utovu wa nidhamu, amefunguka na kudai kuwa hawezi kujibishana na kiti cha kiongozi huyo.