Kilichomtokea Msami baada ya kuachana na Uwoya Msami Baby na Irene Uwoya Msanii wa Bongo Fleva na mkali wa 'kudance', Msami Baby amefunguka juu ya maisha yake ya kimapenzi yalivyo hivi sasa baada ya kuachana na muigizaji maarufu Bongo Movie, Irene Uwoya. Read more about Kilichomtokea Msami baada ya kuachana na Uwoya