ACT, Msekwa wafunguka siku ya mwisho kuhamia CCM

Msemaji wa ACT-Wazalendo Taifa na Spika Mstaafu Pius Msekwa.

Spika Mstaafu Pius Msekwa amefunguka juu ya maamuzi ya chama chake kufunga zoezi la kupokea wabunge, madiwani, kuhamia chama hicho na kupewa nafasi ya kugombea tena nafasi zao na kusema yeye anaheshimu maamuzi halali yaliyofanywa na chama chake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS