Wabunge 11 wa upinzani wajivua nyadhfa zao Pichani, Jengo la Bunge jijini Dodoma. Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Mtwara, kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmadi Katani, leo Alhamisi Novemba 15,2018, amejiuzulu Ubunge na nafasi zake zote ndani ya chama chake. Read more about Wabunge 11 wa upinzani wajivua nyadhfa zao