Shule yaomba msamaha "kuhamasisha" ushoga Sakata la Ushoga. Uongozi wa Shule ya Msingi ya Heaven of Peace Academy (HOPAC) umeomba radhi kufuatia kushtumiwa kuunga mkono vitendo vya mapenzi ya Jinsia moja vitendo ambavyo haviungwi mkono na Serikali ya Tanzania. Read more about Shule yaomba msamaha "kuhamasisha" ushoga