Sikukuu ya Maulid, Rais ampa neno Kangi Lugola
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amempongeza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola kwa kazi anayoifanya ya kuhakikisha nchi inaondokana na Uhalifu nchini.