Kala Jeremiah (kushoto) akiwa na mmoja wa rafiki zake aliouza nao mitumba miaka mitatu iliyopita.
Msanii wa muziki wa HipHop nchini, Kala Jeremiah ametembelea mahali ambako alikuwa akifanya kazi ya kuuza nguo za mitumba, kazi ambayo alikuwa akiifanya kabla ya kutoka kimuziki.