Waitara akaliwa kooni bungeni Naibu Waziri TAMISEMI, Mwita Waitara. Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mwita Waitara amejibu swali kwa mara ya kwanza tangu ateuliwe na Rais Dkt, John Pombe Magufuli kushika nafasi hiyo. Read more about Waitara akaliwa kooni bungeni