Zelensky akosoa masharti Urusi ili kusitisha vita

"Mchezo wake wote ni kutudhoofisha iwezekanavyo," Volodymyr Zelensky alisema wakati wa mkutano na waandishi wa habari mtandaoni baada ya mazungumzo ya simu kati ya Vladimir Putin na Donald Trump hapo jana Jumatatu Agosti 18.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS