Idd ahukumiwa miaka 25 jela kisa kilo 1.02 Mahakama hiyo imemuhukumu Iddi Nassoro kutumikia kifungo cha miaka 25 jela kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya huku ikiwaachia huru wenzake watatu. Read more about Idd ahukumiwa miaka 25 jela kisa kilo 1.02