Man United wahamishia nguvu kwa Semenyo Antonie Semenyo Manchester United inaangalia uwezekano wa kumsajili winga wa Bournemouth, Antoine Semenyo, katika dirisha la usajili la Januari, kufuatia mashaka juu ya kiwango cha Patrick Dorgu. Read more about Man United wahamishia nguvu kwa Semenyo